Tushangilie Kenya Taifa Letu Tukufu Lyrics
Song Info: Tushangilie Kenya Taifa Letu Tukufu Lyrics Song. It is a latest song which is viral ll over the Internet and Tiktok.
Tushangilie Kenya Taifa Letu Tukufu Lyrics
Tushangilie Kenya Taifa Letu Tukufu
Kenya Tunayoipenda Daima
Kenya Nchi Tunayoipenda Daima
Twajivunia Sana Tukijiita Wa Kenya
Nchi Yenye Baraka Daima
Kenya Nchi Yenye Baraka Daima
Tumekomboa Kenya Taifa Letu Tukufu
Tumebadili Mwendo Daima
Tunalinda Katiba Mpya Daima
Anayependa Kenya Ni Yule Mwenye Kutenda Haki Kwa Watu Wote Daima
Mtu Mwenye Kutenda Haki Daima
Na Ukipenda Kenya Ujitengane Na Mambo Yenye Kuvunja Amani Daima
Hatutaki Matata Kenya Daima
Wenye Nchi
Kenya Kipenzi Chetu
Hatutaiacha Milele Daima
Wenye Nchi
Kenya Kipenzi Chetu Hatutaiacha Milele Daima
Kenya Kipenzi Chetu Nchi Yenye Upendo
Hatutaacha Kenya Daima Na Milele
Kenya Kipenzi Chetu Hatutaiacha Milele Daima
Wenye Nchi
Kenya Kipenzi Chetu Hatutaiacha Milele Daima
Nani Kiendaa Nje
Sitasahau Kenya Na Nitabaki Mkenya Daima Na Milele
Kenya Kipenzi Chetu
Hatutaiacha Milele Daima
Mwenye Nchi
Kenya Kipenzi Chetu Hatutaiacha Milele Daima
Na Tumeapa Sote Wenye Nchi Ya Kenya
Kutumikia Kenya Daima Na Milele
Kenya Kipenzi Chetu
Hatutaiacha Milele Daima
Wenye Nchi
Kenya Kipenzi Chetu
Hatutaiacha Milele Daima
Sitaiacha Kenya Nchi Yangu
Mimi Ni Mwenye Kenya Daima
Umoja Wetu Kenya Tudumishe
Mimi Mwenyewe Kenya Daima
Sitadanganywa Kamwe Na Porojo
Mimi Ni Mwenye Kenya Daima
Yenye Kuleta Chuki Kati Yetu
Mimi Mwenye Kenya Daima
Nitatetea Haki Za Wakenya
Mimi Ni Mwenye Kenya Daima
Wala Sitakubali Ukabila
Mimi Ni Mwenye Kenya Daima
Sitaharibu Mali Ya Wengine
Mimi Mwenye Kenya Daima
Na Majirani Wangu Nitalinda
Mimi Mwenye Kenya Daima
Wenye Nchi Wenzanguu
Kenya Kipenzi Chetu
Hatutaiacha Milele Daima
Wenye Nchi
Kenya Kipenzi Chetu
Hatutaiacha Milele Daima
Tushangilie Kenya Taifa Letu Tukufu
Kenya Tunayoipenda Daima
Kenya Tunayoipenda Daima
Kenya Nchi Tunayoipenda Daima